Skip to content
الوَاقِعة /

Aya 23

56 : 23
الوَاقِعة Aya 96
Sura · الوَاقِعة
Kiswahili · Barawani
56 : 23

كَأَمۡثَٰلِ ٱللُّؤۡلُوِٕ ٱلۡمَكۡنُونِ

Walio kama mfano wa lulu zilio hifadhiwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Kama mfano wa lulu zilio hifadhiwa katika chaza, kwa usafi wao na urembo wao.