54 : 52
وَكُلُّ شَيۡءٖ فَعَلُوهُ فِي ٱلزُّبُرِ
Na kila jambo walilo lifanya limo vitabuni.
Explanation & meanings · 1
- Na kila kitu walicho kifanya duniani kimeandikwa katika madaftari, kimeambatishwa nao.
Aya 52 of القَمَر (54 : 52). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
وَكُلُّ شَيۡءٖ فَعَلُوهُ فِي ٱلزُّبُرِ
Na kila jambo walilo lifanya limo vitabuni.