54 : 38
وَلَقَدۡ صَبَّحَهُم بُكۡرَةً عَذَابٞ مُّسۡتَقِرّٞ
Na iliwafikia wakati wa asubuhi adhabu yangu ya kuendelea.
Explanation & meanings · 1
- Na asubuhi mapema ikawashitua adhabu ya kuthibiti milele.