Skip to content
النَّجم /

Aya 62

53 : 62

Aya 62 of النَّجم (53 : 62). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النَّجم Aya 62
Sura · النَّجم
Kiswahili · Barawani
53 : 62

فَٱسۡجُدُواْۤ لِلَّهِۤ وَٱعۡبُدُواْ۩

Basi msujudieni Mwenyezi Mungu, na mumuabudu.

Explanation & meanings · 1
  1. Basi msujudieni Mwenyezi Mungu aliye iteremsha Qur'ani kuwa ni uwongofu kwa watu wote, na muabuduni Yeye tu peke yake Mwenye kutukuka kwa utukufu wake.