Skip to content
النَّجم /

Aya 43

53 : 43
النَّجم Aya 62
Sura · النَّجم
Kiswahili · Barawani
53 : 43

وَأَنَّهُۥ هُوَ أَضۡحَكَ وَأَبۡكَىٰ

Na kwamba Yeye ndiye anaye leta kicheko na kilio.

Explanation & meanings · 1
  1. Na Yeye peke yake ni Mwenye uweza wa kuufanya uso uonyeshe furaha au maudhiko, na pia ni Mwenye kuziumba sababu za starehe na dhiki.