53 : 44
وَأَنَّهُۥ هُوَ أَمَاتَ وَأَحۡيَا
Na kwamba Yeye ndiye anaye fisha na kuhuisha.
Explanation & meanings · 1
- Na hakika ni Yeye, ndiye Mwenye kuondoa uhai, na kuuleta.
وَأَنَّهُۥ هُوَ أَمَاتَ وَأَحۡيَا
Na kwamba Yeye ndiye anaye fisha na kuhuisha.