53 : 39
وَأَن لَّيۡسَ لِلۡإِنسَٰنِ إِلَّا مَا سَعَىٰ
Na ya kwamba hatapata mtu ila aliyo yafanya mwenyewe?
Explanation & meanings · 1
- Na kwamba mtu hapati ila malipo ya vitendo vyake mwenyewe.