Skip to content
الطُّور /

Aya 30

52 : 30
الطُّور Aya 49
Sura · الطُّور
Kiswahili · Barawani
52 : 30

أَمۡ يَقُولُونَ شَاعِرٞ نَّتَرَبَّصُ بِهِۦ رَيۡبَ ٱلۡمَنُونِ

Au wanasema: Huyu ni mtunga mashairi, tunamtarajia kupatilizwa na dahari.

Explanation & meanings · 1
  1. Bali ati wanasema huyu ni mtunga mashairi, tunaye mngojea afikiwe na mauti!