Skip to content
الطُّور /

Aya 26

52 : 26
الطُّور Aya 49
Sura · الطُّور
Kiswahili · Barawani
52 : 26

قَالُوٓاْ إِنَّا كُنَّا قَبۡلُ فِيٓ أَهۡلِنَا مُشۡفِقِينَ

Waseme: Tulikuwa zamani pamoja na ahali zetu tukiogopa;

Explanation & meanings · 1
  1. Kabla ya neema hizi sisi tulikuwa pamoja na ahali zetu tukiiogopa adhabu ya Mwenyezi Mungu.