Skip to content
الطُّور /

Aya 17

52 : 17
الطُّور Aya 49
Sura · الطُّور
Kiswahili · Barawani
52 : 17

إِنَّ ٱلۡمُتَّقِينَ فِي جَنَّٰتٖ وَنَعِيمٖ

Hakika wachamngu watakuwa katika Mabustani na neema,

Explanation & meanings · 1
  1. Hakika wachamngu watakuwa katika Mabustani yenye wasaa, hapana awezae kuyaeleza yalivyo, na neema kubwa kadhaalika.