Skip to content
المَائدة /

Aya 98

5 : 98

Aya 98 of المَائدة (5 : 98). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

المَائدة Aya 120
Sura · المَائدة
Kiswahili · Barawani
5 : 98

ٱعۡلَمُوٓاْ أَنَّ ٱللَّهَ شَدِيدُ ٱلۡعِقَابِ وَأَنَّ ٱللَّهَ غَفُورٞ رَّحِيمٞ

Jueni kwamba Mwenyezi Mungu ni Mkali wa kuadhibu, na ya kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwenye maghfira, na Mwenye kurehemu.

Explanation & meanings · 1
  1. Enyi watu! Jueni kuwa adhabu ya Mwenyezi Mungu ni kali, humteremkia anaye halalisha vya haramu, naye pia ni Mwingi wa kusamehe dhambi za mwenye kutubu na akaingia kumt'ii. Naye ni Mwenye rehema sana, na kwa hivyo hamchukulii mtu papo kwa papo kwa kila alitendalo.