Skip to content
المَائدة /

Aya 99

5 : 99

Aya 99 of المَائدة (5 : 99). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

المَائدة Aya 120
Sura · المَائدة
Kiswahili · Barawani
5 : 99

مَّا عَلَى ٱلرَّسُولِ إِلَّا ٱلۡبَلَٰغُۗ وَٱللَّهُ يَعۡلَمُ مَا تُبۡدُونَ وَمَا تَكۡتُمُونَ

Haimlazimu Mtume ila kufikisha ujumbe tu. Na Mwenyezi Mungu anajua mnacho kidhihirisha na mnacho kificha.

Explanation & meanings · 1
  1. Haimlazimikii Mtume ila kuwafikishia watu anayo funuliwa yeye, ili isimame hoja juu yao na wasiwe na kisingizio chochote cha kuwa ati hawakuonywa wala hawakufunzwa. Basi yajueni anayo kuleteeni Mtume, kwani Mwenyezi Mungu anayajua mnayo dhihirisha na mnayo yaficha.