Skip to content
المَائدة /

Aya 65

5 : 65
المَائدة Aya 120
Sura · المَائدة
Kiswahili · Barawani
5 : 65

وَلَوۡ أَنَّ أَهۡلَ ٱلۡكِتَٰبِ ءَامَنُواْ وَٱتَّقَوۡاْ لَكَفَّرۡنَا عَنۡهُمۡ سَيِّـَٔاتِهِمۡ وَلَأَدۡخَلۡنَٰهُمۡ جَنَّٰتِ ٱلنَّعِيمِ

Na lau kuwa Watu wa Kitabu wangeli amini na wakachamungu hapana shaka tungeli wafutia makosa yao, na tungeli waingiza katika Bustani zenye neema.

Explanation & meanings · 1
  1. Na lau kuwa Watu wa Kitabu, yaani Mayahudi na Wakristo, wangeli uamini Uislamu na Nabii wake, na wakaacha madhambi tuliyo yataja, tungeli wafutia makosa yao, na tungeli watia katika Bustani (Pepo) za neema, wakastarehe humo.