Skip to content
المَائدة /

Aya 102

5 : 102
المَائدة Aya 120
Sura · المَائدة
Kiswahili · Barawani
5 : 102

قَدۡ سَأَلَهَا قَوۡمٞ مِّن قَبۡلِكُمۡ ثُمَّ أَصۡبَحُواْ بِهَا كَٰفِرِينَ

Waliyauliza hayo watu wa kabla yenu, kisha wakawa wenye kuyakataa.

Explanation & meanings · 1
  1. Katika jamaa walio kutangulieni walikuwapo walio uliza mfano wa haya, mambo mazito mazito; na Manabii wao walipo wakalifisha ya kufanya wakaona mazito kuyatenda, wakayaacha, na wakawa ni wenye kuyakanya. Kwani Mwenyezi Mungu hupendelea wepesi, wala hapendelei uzito; na huwakalifisha watu kwa wanayo yaweza.