Skip to content
المَائدة /

Aya 10

5 : 10
المَائدة Aya 120
Sura · المَائدة
Kiswahili · Barawani
5 : 10

وَٱلَّذِينَ كَفَرُواْ وَكَذَّبُواْ بِـَٔايَٰتِنَآ أُوْلَٰٓئِكَ أَصۡحَٰبُ ٱلۡجَحِيمِ

Na wale walio kufuru na wakakanusha Ishara zetu, hao ndio watu wa Motoni.

Explanation & meanings · 1
  1. Na wale wanayo ipinga Dini ya Mwenyezi Mungu, na wakakanusha Ishara zinazo onyesha Umoja wa Mwenyezi Mungu Mtukufu, na ukweli wa Ujumbe wake, hao ni watu wa kudumu katika Jahannamu.