Skip to content
المَائدة /

Aya 9

5 : 9

Aya 9 of المَائدة (5 : 9). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

المَائدة Aya 120
Sura · المَائدة
Kiswahili · Barawani
5 : 9

وَعَدَ ٱللَّهُ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ لَهُم مَّغۡفِرَةٞ وَأَجۡرٌ عَظِيمٞ

Mwenyezi Mungu amewaahidi walio muamini na wakatenda mema kwamba watapata maghfira na malipo makubwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Mwenyezi Mungu kwa fadhila yake amewaahidi walio isadiki Dini yake na wakatenda mema kuwa atawasamehe dhambi zao, na atawalipa badala yake thawabu.