Skip to content
الجاثِية /

Aya 33

45 : 33

Aya 33 of الجاثِية (45 : 33). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الجاثِية Aya 37
Sura · الجاثِية
Kiswahili · Barawani
45 : 33

وَبَدَا لَهُمۡ سَيِّـَٔاتُ مَا عَمِلُواْ وَحَاقَ بِهِم مَّا كَانُواْ بِهِۦ يَسۡتَهۡزِءُونَ

Basi ubaya wa waliyo yatenda utawadhihirikia, na yatawazunguka waliyo yafanyia maskhara.

Explanation & meanings · 1
  1. Na utawadhihirikia hawa makafiri ubaya wa vitendo vyao, na itawateremkia jaza ya maskhara yao waliyo kuwa wakizifanyia Ishara za Mwenyezi Mungu.