Skip to content
الجاثِية /

Aya 22

45 : 22

Aya 22 of الجاثِية (45 : 22). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الجاثِية Aya 37
Sura · الجاثِية
Kiswahili · Barawani
45 : 22

وَخَلَقَ ٱللَّهُ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضَ بِٱلۡحَقِّ وَلِتُجۡزَىٰ كُلُّ نَفۡسِۭ بِمَا كَسَبَتۡ وَهُمۡ لَا يُظۡلَمُونَ

Na Mwenyezi Mungu ameziumba mbingu na ardhi kwa haki, na ili kila nafsi ilipwe yale iliyo yachuma. Nao hawatadhulumiwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Na Mwenyezi Mungu ameziumba mbingu na ardhi kwa mujibu wa hikima na nidhamu, ili zidhihiri dalili za Ungu wake na uwezo wake, na apate kulipwa kila mtu kwa alilo tenda, ikiwa kheri au shari. Na wao hawatapunguziwa chochote katika malipo yao.