Skip to content
الجاثِية /

Aya 21

45 : 21

Aya 21 of الجاثِية (45 : 21). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الجاثِية Aya 37
Sura · الجاثِية
Kiswahili · Barawani
45 : 21

أَمۡ حَسِبَ ٱلَّذِينَ ٱجۡتَرَحُواْ ٱلسَّيِّـَٔاتِ أَن نَّجۡعَلَهُمۡ كَٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ سَوَآءٗ مَّحۡيَاهُمۡ وَمَمَاتُهُمۡۚ سَآءَ مَا يَحۡكُمُونَ

Je! Wanadhani wanao tenda maovu kuwa tutawafanya kama walio amini, na wakatenda mema, sawa sawa uhai wao na kufa kwao? Ni hukumu mbaya wanayo ihukumu!

Explanation & meanings · 1
  1. Bali wanadhani hao walio chuma yanayo chusha katika ukafiri na maasi kwamba tutawafanya kama walio muamini Mwenyezi Mungu na wakatenda vitendo vyema, na hivyo tuwafanye sawa baina ya makundi mawili hayo katika uhai na katika kufa? Hukumu yao ni mbaya mno, ikiwa wanahisi kuwa wao ni sawa na Waumini.