Skip to content
الدُّخان /

Aya 47

44 : 47

Aya 47 of الدُّخان (44 : 47). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الدُّخان Aya 59
Sura · الدُّخان
Kiswahili · Barawani
44 : 47

خُذُوهُ فَٱعۡتِلُوهُ إِلَىٰ سَوَآءِ ٱلۡجَحِيمِ

(Itasemwa:) Mkamateni na mtupeni katikati ya Jahannamu!

Explanation & meanings · 1
  1. Enyi Mazabania wa Jahannamu (Walinzi wa Motoni)! Mkamateni huyu mkosefu, mwenye dhambi, mumtokomeze kwa nguvu na ukali mpaka katikati ya Jahannamu!