Skip to content
الدُّخان /

Aya 38

44 : 38
الدُّخان Aya 59
Sura · الدُّخان
Kiswahili · Barawani
44 : 38

وَمَا خَلَقۡنَا ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضَ وَمَا بَيۡنَهُمَا لَٰعِبِينَ

Na hatukuziumba mbingu na ardhi na vilivyomo baina yake kwa mchezo.

Explanation & meanings · 1
  1. Na Mwenyezi Mungu hakuumba mbingu na ardhi na viliomo baina yao bila ya hikima.