Skip to content
الدُّخان /

Aya 23

44 : 23
الدُّخان Aya 59
Sura · الدُّخان
Kiswahili · Barawani
44 : 23

فَأَسۡرِ بِعِبَادِي لَيۡلًا إِنَّكُم مُّتَّبَعُونَ

Mwenyezi Mungu akasema: Basi nenda na waja wangu usiku. Kwa yakini mtafuatwa.

Explanation & meanings · 1
  1. (Naye Musa akaambiwa:) Toka na Waumini usiku usiku kwa kificho, wasije kukupateni, kwani Firauni na askari wake watakufuateni pindi wakijua, wakukamateni.