Skip to content
الزُّخرُف /

Aya 79

43 : 79

Aya 79 of الزُّخرُف (43 : 79). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الزُّخرُف Aya 89
Sura · الزُّخرُف
Kiswahili · Barawani
43 : 79

أَمۡ أَبۡرَمُوٓاْ أَمۡرٗا فَإِنَّا مُبۡرِمُونَ

Au waliweza kupitisha amri yao? Bali ni Sisi ndio tunao pitisha.

Explanation & meanings · 1
  1. Kwani ndio waliweza washirikina wa Makka kutimiza hivyo vituko vyao kumkadhibisha Mtume na kupanga njama za kumuuwa? Bali Sisi kwa hakika tuliweza jambo katika kuwalipizia wao na kukupa ushindi wewe juu yao.