Skip to content
الزُّخرُف /

Aya 80

43 : 80

Aya 80 of الزُّخرُف (43 : 80). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الزُّخرُف Aya 89
Sura · الزُّخرُف
Kiswahili · Barawani
43 : 80

أَمۡ يَحۡسَبُونَ أَنَّا لَا نَسۡمَعُ سِرَّهُمۡ وَنَجۡوَىٰهُمۚ بَلَىٰ وَرُسُلُنَا لَدَيۡهِمۡ يَكۡتُبُونَ

Au wanadhani kwamba hatusikii siri zao na minong'ono yao? Wapi! Na wajumbe wetu wapo karibu nao, wanayaandika.

Explanation & meanings · 1
  1. Ati wanadhani hawa washirikina kwamba Sisi hatuyasikii maneno yao wenyewe wanapo panga njama, na wanapo semezana kwa siri katika kukanusha haki? Kwani! Twawasikia. Na Malaika wanao dhibiti kauli zao wanayaandika hayo.