Skip to content
الزُّخرُف /

Aya 78

43 : 78

Aya 78 of الزُّخرُف (43 : 78). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الزُّخرُف Aya 89
Sura · الزُّخرُف
Kiswahili · Barawani
43 : 78

لَقَدۡ جِئۡنَٰكُم بِٱلۡحَقِّ وَلَٰكِنَّ أَكۡثَرَكُمۡ لِلۡحَقِّ كَٰرِهُونَ

Kwa yakini tulikuleteeni Haki, lakini wengi katika nyinyi mlikuwa mnaichukia Haki.

Explanation & meanings · 1
  1. Mwenyezi Mungu Mtukufu atawaambia kwa kuwarudi: Nyinyi alikujilieni Mtume wetu, enyi watu wa Makka, kukuleteeni Dini ya Haki. Wakaamini wachache, na wengi wenu mkakataa. Nao hawaipendi Haki.