Skip to content
الزُّخرُف /

Aya 25

43 : 25

Aya 25 of الزُّخرُف (43 : 25). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الزُّخرُف Aya 89
Sura · الزُّخرُف
Kiswahili · Barawani
43 : 25

فَٱنتَقَمۡنَا مِنۡهُمۡۖ فَٱنظُرۡ كَيۡفَ كَانَ عَٰقِبَةُ ٱلۡمُكَذِّبِينَ

Basi tukawalipizia. Angalia ulikuwaje mwisho wa walio kadhibisha!

Explanation & meanings · 1
  1. Basi tukawatesa walio wakadhibisha Mitume wao kwa mateso makali katika dunia. Basi hebu angalia, ewe mwenye kuzingatia, vipi ulikuwa mwisho wa wenye kukukadhibisheni kuwa ni mfano wa ajabu, na mawaidha makubwa!