Skip to content
الشُّورى /

Aya 50

42 : 50

Aya 50 of الشُّورى (42 : 50). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الشُّورى Aya 53
Sura · الشُّورى
Kiswahili · Barawani
42 : 50

أَوۡ يُزَوِّجُهُمۡ ذُكۡرَانٗا وَإِنَٰثٗاۖ وَيَجۡعَلُ مَن يَشَآءُ عَقِيمًاۚ إِنَّهُۥ عَلِيمٞ قَدِيرٞ

Au huwachanganya wanaume na wanawake, na akamfanya amtakaye tasa. Hakika Yeye ni Mjuzi Mwenye uweza.

Explanation & meanings · 1
  1. Na Yeye Subhanahu humfadhili amtakaye kwa kumchanganyia wanaume na wanawake, na akamfanya amtakaye bila ya mtoto yeyote. Hakika Mwenyezi Mungu anajua vyema kila kitu. Ni Muweza wa kutenda kila akitakacho.