Skip to content
الشُّورى /

Aya 43

42 : 43

Aya 43 of الشُّورى (42 : 43). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الشُّورى Aya 53
Sura · الشُّورى
Kiswahili · Barawani
42 : 43

وَلَمَن صَبَرَ وَغَفَرَ إِنَّ ذَٰلِكَ لَمِنۡ عَزۡمِ ٱلۡأُمُورِ

Na anaye subiri, na akasamehe, hakika hayo ni katika mambo ya kuazimiwa.

Explanation & meanings · 1
  1. Ninaapa: Bila ya shaka, mwenye kuvumilia kudhulumiwa, akamwachilia aliye mdhulumu, wala asiitetee nafsi yake, pindi ikiwa huko kusamehe kwenyewe hakuupalilii ufisadi ukapata nguvu katika nchi, hakika hayo ni katika mambo ambayo yanatakikana mwenye akili ajilazimishe kuyatenda.