Skip to content
الشُّورى /

Aya 35

42 : 35

Aya 35 of الشُّورى (42 : 35). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الشُّورى Aya 53
Sura · الشُّورى
Kiswahili · Barawani
42 : 35

وَيَعۡلَمَ ٱلَّذِينَ يُجَٰدِلُونَ فِيٓ ءَايَٰتِنَا مَا لَهُم مِّن مَّحِيصٖ

Na ili wajue wanao jadiliana katika Ishara zetu kwamba hawana pahala pa kukimbilia.

Explanation & meanings · 1
  1. Mwenyezi Mungu, Subhanahu, hufanya hayo ili Waumini wapate kuzingatia, na wajue wale wanao zirudi Ishara zake kwa upotovu kwamba wao wamo katika mkono wake, wala hawana pa kuikimbia adhabu yake.