Skip to content
الشُّورى /

Aya 26

42 : 26

Aya 26 of الشُّورى (42 : 26). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الشُّورى Aya 53
Sura · الشُّورى
Kiswahili · Barawani
42 : 26

وَيَسۡتَجِيبُ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ وَيَزِيدُهُم مِّن فَضۡلِهِۦۚ وَٱلۡكَٰفِرُونَ لَهُمۡ عَذَابٞ شَدِيدٞ

Na anawaitikia wanao amini na wakatenda mema, na anawazidishia fadhila zake. Na makafiri watakuwa na adhabu chungu.

Explanation & meanings · 1
  1. Na huwaitikia Waumini kwa wanayo yaomba, na huwazidishia juu ya hayo wanayo yaomba. Na makafiri watapata adhabu yenye kufikia ukomo wa ukali na uchungu.