Skip to content
فُصِّلَت /

Aya 8

41 : 8

Aya 8 of فُصِّلَت (41 : 8). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

فُصِّلَت Aya 54
Sura · فُصِّلَت
Kiswahili · Barawani
41 : 8

إِنَّ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ لَهُمۡ أَجۡرٌ غَيۡرُ مَمۡنُونٖ

Hakika wanao amini na wakatenda mema watakuwa na ujira usio na ukomo.

Explanation & meanings · 1
  1. Hakika Waumini wanao tenda mema watapata malipo mazuri yasiyo katika.