41 : 2
تَنزِيلٞ مِّنَ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
Uteremsho huu umetoka kwa Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.
Explanation & meanings · 1
- Kitabu hichi ni mteremsho wa namna ya peke yake, kutokana na Mneemeshaji wa neema kubwa na neema ndogo.