Skip to content
فُصِّلَت /

Aya 18

41 : 18

Aya 18 of فُصِّلَت (41 : 18). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

فُصِّلَت Aya 54
Sura · فُصِّلَت
Kiswahili · Barawani
41 : 18

وَنَجَّيۡنَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَكَانُواْ يَتَّقُونَ

Na tukawaokoa walio amini na wakawa wanamcha-mngu.

Explanation & meanings · 1
  1. Na tukawaokoa kutokana na adhabu hii wale walio amini, na wakawa wanamcha Mwenyezi Mungu na wanaiogopa adhabu yake.