Skip to content
النِّسَاء /

Aya 85

4 : 85

Aya 85 of النِّسَاء (4 : 85). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النِّسَاء Aya 176
Sura · النِّسَاء
Kiswahili · Barawani
4 : 85

مَّن يَشۡفَعۡ شَفَٰعَةً حَسَنَةٗ يَكُن لَّهُۥ نَصِيبٞ مِّنۡهَاۖ وَمَن يَشۡفَعۡ شَفَٰعَةٗ سَيِّئَةٗ يَكُن لَّهُۥ كِفۡلٞ مِّنۡهَاۗ وَكَانَ ٱللَّهُ عَلَىٰ كُلِّ شَيۡءٖ مُّقِيتٗا

Mwenye kusaidia msaada mwema ana fungu lake katika hayo, na mwenye kusaidia msaada mwovu naye ana sehemu yake katika hayo. Na hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye uweza na ujuzi juu ya kila kitu.

Explanation & meanings · 1
  1. Na hawa wanaafiki husaidia ufisadi, na watu wa Imani husaidia Haki. Na mwenye kusaidia jambo jema ana fungu lake la thawabu. Na mwenye kuwasaidia watu waovu naye ana mzigo wake wa dhambi katika malipo yake. Na Mwenyezi Mungu ana uweza juu ya kila kitu, na Mwenye kujua kila kitu.