Skip to content
النِّسَاء /

Aya 120

4 : 120

Aya 120 of النِّسَاء (4 : 120). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النِّسَاء Aya 176
Sura · النِّسَاء
Kiswahili · Barawani
4 : 120

يَعِدُهُمۡ وَيُمَنِّيهِمۡۖ وَمَا يَعِدُهُمُ ٱلشَّيۡطَٰنُ إِلَّا غُرُورًا

Anawaahidi na anawatia tamaa. Na Shet'ani hawaahidi ila udanganyifu.

Explanation & meanings · 1
  1. Shetani huwapambia shari, wakaiona nzuri, na huwaahidi manufaa watayo pata pindi wakitenda kitendo fulani, na huwatia katika nafsi zao matumaini ya kuyatumai. Na hapana lolote analo waahidi na analo wapambia ila ni udanganyifu mtupu.