Skip to content
النِّسَاء /

Aya 121

4 : 121

Aya 121 of النِّسَاء (4 : 121). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

النِّسَاء Aya 176
Sura · النِّسَاء
Kiswahili · Barawani
4 : 121

أُوْلَٰٓئِكَ مَأۡوَىٰهُمۡ جَهَنَّمُ وَلَا يَجِدُونَ عَنۡهَا مَحِيصٗا

Hao makao yao ni Jahannamu, na wala hawapati makimbilio kutoka humo.

Explanation & meanings · 1
  1. Hakika hao walio zipoteza akili zao na wakafuata wasiwasi wa Shetani anao watia katika nafsi zao, mwisho wao ni kuendea Jahannamu, wala hawatapata njia ya kutoka huko.