Skip to content
الزُّمَر /

Aya 28

39 : 28
الزُّمَر Aya 75
Sura · الزُّمَر
Kiswahili · Barawani
39 : 28

قُرۡءَانًا عَرَبِيًّا غَيۡرَ ذِي عِوَجٖ لَّعَلَّهُمۡ يَتَّقُونَ

Qur'ani ya Kiarabu isiyo na upogo, ili wamche Mungu.

Explanation & meanings · 1
  1. Tumeiteremsha Qur'ani ya Kiarabu kwa ulimi wao, haina upungufu, kwa kutaraji kuwa watamcha na watamwogopa Mola wao Mlezi.