Skip to content
صٓ /

Aya 56

38 : 56
صٓ Aya 88
Sura · صٓ
Kiswahili · Barawani
38 : 56

جَهَنَّمَ يَصۡلَوۡنَهَا فَبِئۡسَ ٱلۡمِهَادُ

Nayo ni Jahannamu! Wataingia humo. Nacho hicho ni kitanda kiovu mno cha kulalia.

Explanation & meanings · 1
  1. Na mwisho huo ni Jahannamu watakayo iingia, na moto wake uwatese. Na malalio maovu mno hayo!