Skip to content
صٓ /

Aya 55

38 : 55

Aya 55 of صٓ (38 : 55). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

صٓ Aya 88
Sura · صٓ
Kiswahili · Barawani
38 : 55

هَٰذَاۚ وَإِنَّ لِلطَّٰغِينَ لَشَرَّ مَـَٔابٖ

Ndio hivi! Na hakika wenye kuasi bila ya shaka watapata marudio maovu kabisa;

Explanation & meanings · 1
  1. Neema hizi ni malipo ya wachamngu. Na hakika majabari wenye kuwaasi Manabii wao bila ya shaka watakuwa na marejeo na mwisho muovu.