38 : 57
هَٰذَا فَلۡيَذُوقُوهُ حَمِيمٞ وَغَسَّاقٞ
Ndio hivi! Basi na wayaonje maji ya moto na ya usaha!
Explanation & meanings · 1
- Haya maji ya moto, mwisho wa umoto, na usaha wa watu wa Jahannamu wataamrishwa wayaonje.
Aya 57 of صٓ (38 : 57). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
هَٰذَا فَلۡيَذُوقُوهُ حَمِيمٞ وَغَسَّاقٞ
Ndio hivi! Basi na wayaonje maji ya moto na ya usaha!