Skip to content
الصَّافَات /

Aya 62

37 : 62
الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 62

أَذَٰلِكَ خَيۡرٞ نُّزُلًا أَمۡ شَجَرَةُ ٱلزَّقُّومِ

Je! Kukaribishwa hivi si ndio bora, au mti wa Zaqqum?

Explanation & meanings · 1
  1. Je! Hiyo riziki maalumu iliyo andaliwa kwa sababu ya watu wa Peponi ni bora, au mti wa Zaqqum ulio andaliwa kwa ajili ya watu wa Motoni?