Skip to content
الصَّافَات /

Aya 61

37 : 61

Aya 61 of الصَّافَات (37 : 61). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 61

لِمِثۡلِ هَٰذَا فَلۡيَعۡمَلِ ٱلۡعَٰمِلُونَ

Kwa mfano wa haya nawatende watendao.

Explanation & meanings · 1
  1. Ili wapate ukarimu wa Akhera kama walio bahatika kuupata Waumini, basi nawafanye kazi duniani hao wafanyao kazi, ili wapate kama walio pata wao.