Skip to content
الصَّافَات /

Aya 54

37 : 54
الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 54

قَالَ هَلۡ أَنتُم مُّطَّلِعُونَ

Atasema: Je! Nyie mnawaona?

Explanation & meanings · 1
  1. Muumini awaambie wenzie alio kaa nao: Enyi watu wa Peponi, mnawaona watu wa Motoni nipate kumwona rafiki yangu?