Skip to content
الصَّافَات /

Aya 33

37 : 33

Aya 33 of الصَّافَات (37 : 33). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 33

فَإِنَّهُمۡ يَوۡمَئِذٖ فِي ٱلۡعَذَابِ مُشۡتَرِكُونَ

Basi wao kwa hakika siku hiyo watashirikiana katika adhabu pamoja.

Explanation & meanings · 1
  1. Kwani hakika wafuasi na wenye kufuatwa wote watashiriki pamoja katika adhabu ya Siku ya Kiyama.