Skip to content
الصَّافَات /

Aya 32

37 : 32
الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 32

فَأَغۡوَيۡنَٰكُمۡ إِنَّا كُنَّا غَٰوِينَ

Tulikupotezeni kwa sababu sisi wenyewe tulikuwa wapotovu.

Explanation & meanings · 1
  1. Tukakuiteni kwenye maasi na upotovu na nyinyi mkaitikia wito wetu. Kazi yetu ni kufanya hila ya kuwaita watu wafuate upotovu tulio nao. Basi hatuna lawama.