37 : 167
وَإِن كَانُواْ لَيَقُولُونَ
Na walikuwapo walio kuwa wakisema:.
Explanation & meanings · 1
- Na walikuwapo makafiri wa Makka kabla ya kuteuliwa Mtume s.a.w. ambao wakisema:
Aya 167 of الصَّافَات (37 : 167). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.
وَإِن كَانُواْ لَيَقُولُونَ
Na walikuwapo walio kuwa wakisema:.