37 : 165
وَإِنَّا لَنَحۡنُ ٱلصَّآفُّونَ
Na hakika bila ya shaka sisi ndio wajipangao safu.
Explanation & meanings · 1
- Na sisi tumejipanga safu wenyewe katika misimamo ya kutumika daima.
وَإِنَّا لَنَحۡنُ ٱلصَّآفُّونَ
Na hakika bila ya shaka sisi ndio wajipangao safu.