Skip to content
الصَّافَات /

Aya 154

37 : 154
الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 154

مَا لَكُمۡ كَيۡفَ تَحۡكُمُونَ

Mna nini? Mnahukumu vipi nyinyi?.

Explanation & meanings · 1
  1. Ni nini lilio kusibuni hata mkakata hukumu bila ya ushahidi? Vipi mnahukumu hivyo na hali ni upotovu ulio wazi?