37 : 155 أَفَلَا تَذَكَّرُونَ Hamkumbuki?. 155Hide explanation (1)Explanation & meanings · 1155Je! Mmesahau dalili za uweza wake na kutakasika kwake, ndio msikumbuke mpaka mkaingia katika upotovu?