Skip to content
الصَّافَات /

Aya 146

37 : 146

Aya 146 of الصَّافَات (37 : 146). This page carries the verse in the Uthmani script with a translation of its meaning, at a stable URL that can be cited on its own.

الصَّافَات Aya 182
Sura · الصَّافَات
Kiswahili · Barawani
37 : 146

وَأَنۢبَتۡنَا عَلَيۡهِ شَجَرَةٗ مِّن يَقۡطِينٖ

Na tukauotesha juu yake mmea wa kabila ya mung'unye.

Explanation & meanings · 1
  1. Tukauotesha mmea wa kutambaa, usio simama juu ya kigogo, ukamfunika na kumkinga na madhara ya hali ya hewa.